All the way, Together
Tanzania Kenya Uganda Rwanda Burundi
Intercity Property Hub: Tunauza Shamba Lenye Michungwa 600.

Intercity Property Hub: Tunauza Shamba Lenye Michungwa 600.

Tunauza Shamba Bora Lenye Jumla ya Heka 10.5 na Miundombinu Muhimu kama Maji ya Uhakika na Nyumba ya Shambani. Barabara ya Kutoka Njombe Mjini hadi Shamba Inapitika Mwaka Mzima hata Wakati wa Masika/Kifuku.

Kati ya Heka 10.5 zilizo Flat, Heka Nane (8) Zina Jumla ya Miparachichi 600 (Miti 80 kwa Heka) na Mi-Apple 20 Yenye Umri wa Miaka Miwili, Iliyotunzwa Kitaalam na Imeshaanza Kutoa Maua.

Zaidi Ya Parachichi, Unaweza Pia Kulima Mazao Mbalimbali na Kuweka Mifugo Kama Kuku, Ngombe, naka zalika

Type: farm

Location: Mwanza

Price: 23000000 TZS

Posted by: bashrail